audio
Mahojiano: Anyango
Ukumbi wa Jumapili
dk16 sek31

Siku ya kutangaza Februari 28, 2021
Inapatikana hadi Februari 28, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia mahojiano tuliofanya na Anyango, binti Mjapani aliyebobea katika kucheza ala ya Nyatiti ambayo ni maarufu sana nchini Kenya.

photo Anyango akicheza ala ya Nyatiti. photo Anyango akisimama kwa madaha huku kaishikilia ala ya Nyatiti.