audio
Mahojiano: Sato Shu
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Februari 21, 2021
Inapatikana hadi Februari 21, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia utasikiliza mahojiano kati yetu na Sato Shu, Mjapani aliyewahi kuhudumu na Shirika la Japani la Ushirikiano wa Kimataifa (JICA) kama mfanyakazi wa kujitolea nchini Tanzania.

photo Sato Shu (kushoto) akiwa na rafikiye.