audio
Mahojiano: Muraoka Tomoko & Brian Ochieng Otieno (KESTES)
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Februari 14, 2021
Inapatikana hadi Februari 14, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano na Muraoka Tomoko Mjapani ambaye ni mwanachama wa kundi la KESTES. Hili ni kundi linaloundwa na Wajapani waliowahi kufanya kazi za kujitolea nchini Kenya kupitia JICA, pamoja naye Brian Ochieng Otieno mnufaika wa kundi hilo.

photo Brian Ochieng Otieno photo Mnufaika wa huduma ya kundi la KESTES (katikati) na na mwanachama wa KESTES (kulia) photo Mnufaika wa huduma ya kundi la KESTES (kulia) na mwanachama wa KESTES