audio
Mahojiano: Igari Yuki
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Februari 7, 2021
Inapatikana hadi Februari 7, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tunakuletea mahojiano na Igari Yuki, mshindi wa mashindano ya hotuba ya Kiswahili katika Chuo Kikuu cha Soka nchini Japani.

photo Igari Yuki (kushoto) akihojiwa na Batlet Milanzi. photo Igari Yuki akiwa na wenzake Wajapani.