audio
Ripoti: Reuben Kyama atakusimulia safari ya msanii Mjapani, Yamashita Rui nchini Kenya.
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Januari 31, 2021
Inapatikana hadi Januari 31, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuletea pia ripoti iliyotayarishwa na Reuben Kyama kutoka mjini Nairobi, Kenya ikimwangazia msanii Mjapani anayeendesha kazi zake nchini humo.

photo Msanii Yamashita Rui akiwa na rafikiye Mkenya akionyesha baadhi ya kazi zake. photo Msanii Yamashita Rui akionesha baadhi ya kazi zake.