audio
Yamada Chiho
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Januari 24, 2021
Inapatikana hadi Januari 24, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na mtangazaji wa zamani wa Redio Japani, Yamada Chiho.

photo Chiho Yamada