audio
Mahojiano: Frida Tomito
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Januari 17, 2021
Inapatikana hadi Januari 17, 2022

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano na Frida Tomito, mkurugenzi wa shirika la Sakura Vision Tanzania ambaye hivi karibuni amepata tuzo kutoka wizara ya mambo ya nje ya Japani kwa mchango wake wa kukuza ushirikiano wa Japani na Tanzania.

photo Frida Tomito, mkurugenzi wa shirika la Sakura Vision Tanzania photo Wanafunzi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Sakura photo Shule ya sekondari ya wasichana ya Sakura