audio
Mahojiano: Chiho Yamada
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Desemba 27, 2020
Inapatikana hadi Desemba 27, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na Chiho Yamada aliyewahi kuwa mtangazaji wa kipindi cha Ukumbi wa Jumapili.

photo Chiho Yamada