audio
Mahojiano: Dada Masayo
Ukumbi wa Jumapili
dk18 sek33

Siku ya kutangaza Desemba 20, 2020
Inapatikana hadi Desemba 20, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Tutakuwa pia na mahojiano na dada Masayo, Mjapani aliyewahi kuishi nchini Tanzania akizungumzia maisha yake wakati wa janga la korona.

photo Dada Masayo photo Dada Masayo