audio
Mahojiano: Yamashiki Runa
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Desemba 13, 2020
Inapatikana hadi Desemba 13, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano naye Yamashiki Runa, Mjapani aliyewahi kuwa mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam nchini Tanzania. Ataelezea tajiriba yake nchini humo.

photo Yamashiki Runa akiwa katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. photo Runa akiwa darasani. photo Runa akiwa ziarani Rwanda.