audio
Mahojiano: Fresh Jumbe
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Desemba 6, 2020
Inapatikana hadi Desemba 6, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza naye Fresh Jumbe, mwanamuziki mkongwe wa Tanzania anayefanya kazi zake nchini Japani.

photo Fresh Jumbe, mwanamuziki Mtanzania anayeishi Japani photo Jumbe akiimba jukwaani photo Jumbe akitumbuiza katika tamasha la shule nchini Japani photo Jumbe (kushoto) na wenzake.