audio
Mahojiano: Tosha Maggy
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Novemba 29, 2020
Inapatikana hadi Novemba 29, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza na Tosha Maggy anayefanya kazi na shirika lisilokuwa la kujipatia faida la Terra Renaissance nchini Uganda.

photo Bi. Tosha Maggy (kushoto) photo Bi. Tosha Maggy (aliyeketi mbele na kuvalia kitenge) photo Mnufaikaji wa shirika la Terra Renaissance nchini Uganda photo Mnufaikaji wa shirika la Terra Renaissance nchini Uganda