audio
Mahojiano: Yamada Chiho
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Novemba 15, 2020
Inapatikana hadi Novemba 15, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Yamada Chiho pia atakuwepo kama mgeni sambamba na watangazaji wengine.

photo Yamada Chiho