audio
Mahojiano: Festo Kasmir Shayo
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Novemba 8, 2020
Inapatikana hadi Novemba 8, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutazungumza na Festus Casmir Shayo, Mtanzania anayeishi Japani.

photo Festo Kasmir Shayo