audio
Mahojiano: Okamoto Ryuta
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Novemba 1, 2020
Inapatikana hadi Novemba 1, 2021

Pia tutazungumza na Okamoto Ryuta, mfanyakazi wa zamani wa JICA nchini Tanzania. Kwa sasa anajaribu kufanya kazi kwa karibu na wakulima kadhaa nchini Tanzania. Fuatilia kujua namna anavyofanya nao kazi.

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.

photo Okamoto Ryuta