audio
Kishi Takumi: Mwasisi wa "A-GOAL Project".
Ukumbi wa Jumapili
dk20 sek00

Siku ya kutangaza Oktoba 4, 2020
Inapatikana hadi Oktoba 4, 2021

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili. Pia tutakuwa na mahojiano na Kishi Takumi, mwasisi wa "Mradi wa A-Goal" anayefanya kazi kwa karibu na wenyeji kutoka nchi kadhaa za Afrika, akisaidia wakazi wa nchi hizo kupata mahitaji muhimu ya kila siku.

photo Kishi Takumi, mwasisi wa "A-GOAL Project". photo Tukio la mtandaoni lilifanyika kwa saa 24 kutoa ufahamu juu ya Afrika kwa Wajapani. photo "Mradi wa A-GOAL" unalenga kuwasaidia watu wenye kipato cha chini kupata mahitaji muhimu ya kila siku kama vile chakula. photo "Mradi wa A-GOAL" unalenga kuwasaidia watu wenye kipato cha chini kupata mahitaji muhimu ya kila siku kama vile chakula.