audio
Mgeni wetu ni Bi. Yumiko.
Ukumbi wa Jumapili
dk18 sek09

Siku ya kutangaza Septemba 27, 2020
Inapatikana hadi Septemba 27, 2021

Katika sehemu ya pili ya mahojiano, Bi. Yumiko atasimulia dhamira ya kuandika vitabu vyake viwili, kimoja kikihusu simulizi za watoto.

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.

photo Bi.Yumiko na mumewe Bw. Shimaoka Tsuyoshi. photo Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani photo Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani photo Wasanii wa michoro ya tinga tinga, Tanzania