audio
Mgeni wetu ni Shimaoka Tsuyoshi na mkewe Yumiko.
Ukumbi wa Jumapili
dk18 sek45

Siku ya kutangaza Septemba 20, 2020
Inapatikana hadi Septemba 20, 2021

Katika sehemu ya kwanza ya mahojiano, Shimaoka na mkewe watasimulia mengi kuhusu michoro yao ya tinga tinga na maisha yao Zanzibar.

Hiki ni kipindi ambacho tunasoma barua yako msikilizaji kuhusu maoni ya vipindi mbalimbali ambavyo tunavitangaza kwenye Idhaa yetu ya Kiswahili.

photo Bi.Yumiko na mumewe Bw. Shimaoka Tsuyoshi. photo Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani photo Maonyesho ya tinga tinga na bidhaa zingine, Japani photo Wasanii wa michoro ya tinga tinga, Tanzania