audio
Tebako (kasha la vipodozi) Mapambo ya magurudumu kwenye mto katika mbinu ya Maki-e na vipande vya makombe
Sanaa za Kijapani
dk12 sek13

Siku ya kutangaza Machi 26, 2020
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Tutakutambulisha kasha la vanishi la karne ya 12 lenye umbo zuri na unga wa dhahabu na mapambo ya magurudumu ya mkokoteni ya vipande vya makombe. Ni kazi ya mbinu ya maki-e ya hali ya juu ya Kipindi cha Heian.

photo Tebako (kasha la vipodozi) Mapambo ya magurudumu katika vanishi ya Maki-e na vipande vya makombe photo Mfuniko photo Ndani ya mfuniko