audio
Kosode - Mapambo ya Bata wa Kichina na Mawimbi kwenye Kitambaa Cheusi cha Hariri
Sanaa za Kijapani
dk13 sek12

Siku ya kutangaza Januari 9, 2020
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Vazi la kimono lilitengenezwa nusu ya pili ya karne ya 17. Kipindi hicho kilikuwa enzi ya amani ambapo watu wa mijini walikuwa na ustawi wa maisha, na mavazi ya kimono yalishamiri. Vitabu vingi vya sampuli za mapambo mbalimbali ya nguo vilichapishwa pia, ambapo watu walirejelea picha hizo wakati walipoagiza vimono vyao vya mtindo wa peke yao. Kazi ya sanaa tunayoiangazia leo iina mapambo kama yanayoonekana kwenye vitabu hivyo.

photo Kosode - Mapambo ya bata wa Kichina na mawimbi kwenye kitambaa cheusi cha hariri