audio
Kandili ya Kuning'iniza ya Mapambo ya Plamu na Mianzi
Sanaa za Kijapani
dk12 sek21

Siku ya kutangaza Novemba 14, 2019
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Kandili ya shaba ya "toro" ilitengenezwa katika karne ya 16. Ikitengenezwa kwa ufundi stadi mkubwa kutoka kwenye kalibu moja, kandili hiyo ina mapambo ya kitamaduni ya Kijapani ya mianzi na plamu. Tunamulika kandili hiyo inayoaminika kutengenezwa kwenye karakana moja iliyokuwa maarufu kote Japani enzi hizo.

photo