audio
Kiti na kikuku cha kupandia farasi chenye ubunifu wa matete katika vanishi ya Maki-e
Sanaa za Kijapani
dk13 sek41

Siku ya kutangaza Septemba 12, 2019
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Hii seti ya mtengenezaji wa viti vya farasi na kikuku cha kupandia farasi vilivyotengenezwa katika karne ya 16 vimefunikwa kabisa na vanishi nyeusi inayometa na ina urembo wa dhahabu inayong'aa wa sehemu ya juu ya matete. Ubunifu mzuri unawasilisha uwezo wa ufahamu wa zama pale samurai wababe wa kivita walipojiingiza katika mapambano makali kwa ajili ya hadhi na nguvu.

photo