audio
Kontena la mabaki katika Umbo la Kito kinachoungua
Sanaa za Kijapani
dk13 sek36

Siku ya kutangaza Mei 16, 2019
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Chombo hiki cha metali kilitengenezwa mnamo karne ya 13 ili kushika mabaki yanayoaminika kuwa ya vigae vya mifupa ya kihistoria ya Buddha. Ina urefu wa zaidi ya sentimeta 50 na inajumuisha msingi mgumu na shingo inayosaidia kito cha samani kinachoungua. Watu wa Japani wanaamini mabaki haya yalikuwa na nguvu ya kuondoa mabaya na kufanya matamanio ya watu kuwa kweli.

photo Kontena la mabaki katika Umbo la Kito cha samani kinachoungua