audio
Kufurahi Wakati wa Kuchanua kwa Maua
Sanaa za Kijapani
dk13 sek43

Siku ya kutangaza Machi 14, 2019
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Jozi ya skrini za kujikunja za mwanzoni mwa karne ya 17 inasawiri washerehekeaji wakifurahia msimu wa chipukizi chini ya maua ya mcheri yaliyochanua. Pia tunawaona wanawake waliovalia kama wanaume wakifanya sanaa ya maonyesho ya siku hiyo. Sherehe hiyo ya wanawake ya kutazama maua yaliyochanua inaonekana inaashiria ujio wa amani baada ya miaka mingi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe.

photo Kufurahi wakati wa kuchanua kwa maua