audio
Majenerali 12 wa Kiungu
Sanaa za Kijapani
dk13 sek46

Siku ya kutangaza Februari 14, 2019
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Majenerali 12 wa kiungu ni seti za sanamu za Kibuddha zilichongwa katika karne ya 13. Wakiwa na asili ya India, walikuja kuwa walinzi wa kiungu ambao kwa pamoja walilinda kila mahali na kila wakati. Wote wanapendeza sana. Karibu wanaweza kufanana jinsi ya kusimama na sanamu za katuni za anime.

photo photo