audio
Lango Kuu la Makazi ya Kabaila Ikeda
Sanaa za Kijapani
dk13 sek03

Siku ya kutangaza Desemba 13, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Lango hilo la anasa la mbao lenye paa kubwa la kigae na vibanda vya mlinzi vikiambatanishwa kwenye kila upande wa lango hilo, lilikuwa lango kuu la makazi ya ukoo wa makabaila wa Ikeda katika mji wa Edo, ambao sasa ni Tokyo. Mtindo na ukubwa wake uliruhusiwa tu kwa makabaila wa hadhi ya juu sana. Makazi hayo yalibomolewa na sasa limesalia lango hilo pekee.

photo Lango kuu la makazi ya Kabaila Ikeda