audio
Sarafu za Dhahabu - Koban
Sanaa za Kijapani
dk16 sek34

Siku ya kutangaza Novemba 8, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Miaka 60 iliyopita, aina 3 za sarafu ya dhahabu za karne za 17 na 18 ziligunduliwa kwenye eneo la ujenzi katikati ya jiji la Tokyo. Zilikuwa ni sarafu za dhahabu (koban) zilizotumika kuanzia enzi ya Edo. Mng'ao wa dhahabu ulidumishwa kwa karne kadhaa na kuonyesha juhudi za serikali wakati huo kwa ajili ya kudumisha imani ya wananchi katika utumiaji wa sarafu hizo.

photo Sarafu ya dhahabu ya Keicho, sarafu ya dhahabu ya Shotoku, sarafu ya dhabu ya Kyoho