audio
Mchoro wa Uemura Shoen
Sanaa za Kijapani
dk12 sek16

Siku ya kutangaza Oktoba 11, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Mwanamke aliyevalia vazi jeupe la kimono anaibuka kutoka nyuma ya mwanga hafifu. Ni mrembo, lakini macho yake yanaonekana hayana uhai na yanaogofya. Uemura Shoen, ni mchoraji wa kike aliyetengeneza kazi ya sanaa mithili ya mwako wa moto (Honoo) mwaka 1918. Kazi hiyo inasimama kama sanaa isiyokuwa ya kawaida katika mkusanyiko wake wa michoro halisi, yenye rangi angavu ya wanawake.

photo