audio
Vazi la Bingata lililosanifiwa kwa Mapambo ya Vipepeo na Maua ya Chrysanthemum na Camellia
Sanaa za Kijapani
dk12 sek59

Siku ya kutangaza Septemba 6, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Vazi hilo lililo na rangi ya njano, lina mapambo ya rangi kadhaa kama vile feni zilizotawanyika na maua. Likiwa limetengenezwa kwa mbinu ya kutia rangi ya bingata, lilikuwa linavaliwa na mwanamke wa ngazi ya juu katika Ufalme wa Ryukyu. Likiwa na rangi za kuvutia na ushawishi wa Kichina na Kijapani, chanzo chake kilikuwa historia ya kipekee ya Visiwa vya Ryukyu.

photo Vazi la Bingata lililosanifiwa kwa Mapambo ya Vipepeo na Maua ya Chrysanthemum na Camellia