audio
Jigoku Zoshi (Hati ya kukunja ya picha za Jehanamu)
Sanaa za Kijapani
dk13 sek52

Siku ya kutangaza Juni 14, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Jigoku Zoshi za karne ya 12, Hati ya kukunja ya picha za Jehanamu zinaonesha Jehanamu ambazo wadhambi huingia huko. Inaaminika zilikuwa zikitengenezwa kwa agizo la mfalme Go-Shirakawa, ambaye alikuwa na mkusanyiko mkubwa wa Hati za kukunja za picha. Mkusanyiko huo ulikuwa ishara ya mamlaka ya kitamaduni.

photo Jigoku Zoshi, Hati ya kukunja ya picha za Jehanamu