audio
Kasha la kuandikia lenye majadara nane lililobuniwa na Ogata Korin
Sanaa za Kijapani
dk13 sek17

Siku ya kutangaza Mei 10, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Makasha ya kuandikia yamebuniwa ili kuweka vifaa vya kuandikia. Kasha la kuandikia lenye madaraja nane lilibuniwa  na Ogata Korin mwanzoni mwa karne ya 18, anayefahamika kwa uchoraji wake juu ya skrini. Rangi ya dhahabu na gamba la chaza vinaashiria maua yakichanua kwenye pembe za maji. Inaelezea mandhari moja kutoka kazi ya fasihi ya "Simulizi ya Ise," kama muundo wake unavyoonyesha azma ya Korin ya kupita mipaka ya kitamaduni. (Kipindi hiki kilitangazwa Mei 7, 2015)

photo Kasha la kuandikia lenye madaraja nane