audio
Bikira Maria na mtoto Yesu (Bikira na Rozali)
Sanaa za Kijapani
dk12 sek50

Siku ya kutangaza Aprili 12, 2018
Inapatikana hadi Machi 31, 2029

Fumi-e, ni sahani ya shaba nyeupe iliyotengenezwa katika karne ya 17 kama chombo cha kuwafichua Wakristo. Ilihifadhiwa madhubuti katika ofisi za umma ili kuzuia isiabudiwe. Jinsi gani picha hii ya Fumi-e ilitumika kihalisia? Simulizi yake inaongelea sana kuhusu hali za kijamii za wakati huo, maisha ya watu na nafasi ya dini katika jamii.

photo Bikira Maria na mtoto Yesu (Bikira na Rozali)