audio
Kukabiliana na Majanga kwa Wakazi wa Japani kutoka Nje ya nchi (sehemu 2): Raia wa Vietnam na Indonesia
BOSAI, hatua za kuokoa maisha
dk14 sek13

Siku ya kutangaza Mei 21, 2020
Inapatikana hadi Mei 21, 2021

Kwa kuongezea na hatari zote za majanga ambayo Japani inakabiliana nayo, Watu kutoka nchi zingine wanaoishi nchini humo, wamekabiliana na matatizo yao wenyewe katika miaka ya hivi karibuni. Jopo la watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Keio lilifanya utafiti na kubaini ukweli na kutathmini mahitaji. Kipindi hiki pia kinaonyesha mafunzo yaliyopatikana kutokana na hatua zilizochukuliwa awali, wakati na baada ya matetemeko ya ardhi ya Kumamoto miaka minne iliyopita. (Kipindi hiki kilitangazwa Machi 25, 2020.)

photo Jopo la Utafiti likifanay mahojiano na wakurufunzi na wanafunzi wa ufundi raia wa Vietnam photo Wanafunzi kutoka Indonesia wakiwa na jopo la utafiti. photo Darasa la somo la Kijapani lililoandaliwa na Mfuko wa Kimataifa wa Kumamoto. photo Mwanafunzi wa lugha Chiu Kuei-fen kutoka Taiwan (kushoto) na anayejitolea mratibu Ikuko Inoue (kulia)