Toyota yatangaza faida ya juu zaidi kuwahi kufikiwa na Kampuni ya Kijapani

Kampuni ya kutengeneza magari ya Toyota Motor imetangaza faida ya uendeshaji wa kampuni hiyo iliyoweka rekodi inayozidi yeni trilioni 5, au dola bilioni 34.5, kwa mwaka wa fedha wa 2023, kiwango kikubwa zaidi kuwahi kutokea kwa kampuni ya Kijapani.
###