NHK WORLD > Ukurasa wa mwanzo wa Idhaa ya Kiswahili > Matangazo ya Redio na Podcasting

Frequensi na ratiba ya vipindi kwa redio

Matangazo ya Masafa Mafupi

Saa za Afrika ya Mashariki Saa za Japani Eneo Husika Masafa (KHz)
Saa 12:15-1:00 asubuhi Saa 6:15-7:00 mchana Afrika ya Mashariki na ya Kati 7395
Saa 2:30-3:00 usiku Saa 8:30-9:00 usiku Afrika ya Mashariki na ya Kati 13730

Matangazo ya Satellite Radio

Saa za Afrika ya Mashariki Saa za Japani Eneo Husika Masafa (MHz)
Saa 12:15-1:00 asubuhi

Na

Saa 2:30-3:00usiku
Saa 6:15-7:00 mchana

Na

Saa 8:30-9:00 usiku
Asia-Pacific Intelsat8
4060MHz,Horizontal Polarization, Symbol Rate 26590,FEC1/2
Southwest & Central Asia, the Middle East, Africa Intelsat10
3739MHz,Horizontal Polarization, Symbol Rate 26590,FEC1/2
South & North America Intelsat9
4040MHz,Horizontal Polarization, Symbol Rate 26590,FEC1/2
The Middle East, the Gulf Area & North Africa Arabsat Badr4
11938MHz,Vertical Polarization, Symbol Rate 27000,FEC3/4

Matangazo ya FM kupitia redio washirika

TBC FM iliyopo Dar es salaam, Tanzania, KONGO RTPH FM iliyopo Kisangani katika Megaherts 97.7 na Redio KIVU-1 FM katika Megaherts 88.6 huko Kivu au 88.7 katika maeneo ya Goma, DRC KONGO.
Redio REMA FM iliyopo Bujumbura , Burundi katika Megaherts 88.6 na 107.5 na Redio KWA NEEMA FM iliyopo Mwanza , Tanzania kupitia Megahertz 98.2.

Ratiba ya Vipindi

JUMATATU JUMANNE JUMATANO ALHAMISI IJUMAA JUMAMOSI JUMAPILI
TAARIFA YA HABARI
Jifunze Kijapani Cheche za Teknolojia au
Biashara mpya
Mambo Leo Mambo Leo Tupike Kijapani
au
Karibu Japani inayostaajabisha!
Tuimbe Kijapani
au
Sauti ya Anyango!
au
Utamaduni mpya wa Kijapani
Ukumbi wa Jumapili
Maswali na Majibukuhusu Japani Paukwa!
Marimba ya
Kijapani
Jifunze Kijapani

Vipindi Vikuu vya Redio

(Jifunze Kijapani)
Kozi ya mwaka mzima ya dakika kumi kwa wasikilizaji wa masomo ya lugha ya Kijapani, mara moja kwa wiki na kurudiwa Jumamosi.
(Cheche za Teknolojia / Biashara Mpya)
Maelezo rahisi ya teknolojia za kisasa na biashara mpya nchini Japani.
(Tupike Kijapani)
Tupike vyakula vitamu vya nyumbani vya kijapani.
Kuna milo ambayo sio kwamba ina ladha nzuri tu, bali pia inawakilisha tamaduni na desturi za Wajapani.
(Karibu Japani inayostaajabisha!)
Maripota wa Redio Japani wanakuchukua katika safari yao ili kutembelea maeneo ya kuvutia kote nchini Japani.
(Utamaduni mpya wa Kijapani)
Tutatambulisha baadhi ya vipindi vya kuvutia kuhusu 'Utamaduni Mpya wa Kijapani' kila mwezi.
(Teknolojia ya Mawasiliano)
Tutasikia kuhusu matukio mbali mbali katika habari na teknolojia ya mawasiliano kuanzia teknolojia zinazofahamika hadi zile za kisasa kabisa.
(Ukumbi wa Jumapili)
Kipindi cha kusoma barua zilizotumwa na wasikilizaji.