NHK WORLD > Ukurasa wa mwanzo wa Idhaa ya Kiswahili > Kuhusu matangazo ya Idhaa ya Kiswahili
Kuhusu matangazo ya Idhaa ya Kiswahili
Idhaa ya Kiswahili ya Redio Japani hutoa matangazo mara mbili kila siku kutoka Tokyo. Matangazo yetu yalianza mwaka 1964. Katika matangazo haya tunakuletea habari motomoto kuhusu Japani, Asia, na maeneo mengine vilevile bila kusahau Afrika.