RedioNHK WORLD-JAPAN hutangaza katika lugha 17

Kusikiliza kupitia tovuti

Vipindi vya NHK WORLD-JAPAN hurushwa moja kwa moja katika lugha 17. Hifadhi za sauti za vipindi na taarifa za habari pia zinapatikana.

Programu za bure kwa mifumo ya iOS na Android

Pakua programu za bure kwenye simu ya smartphone au tarakilishi ndogo ya mkononi ama, tableti na unaweza kusikiliza matangazo ya moja kwa moja pamoja na hifadhi ya vipindi kutoka NHK WORLD-JAPAN.

> Bofya hapa kwa taarifa.

Masafa mafupi, masafa ya kati na masafa ya FM

> Chati ya masafa (PDF)

Redio za satelaiti

> Maeneo matangazo yanapopatikana na namna ya kuunganisha (PDF)