Programu ya bure ya NHK WORLD-JAPAN kwa Smartphones na Tableti

Programu ya iOS ya NHK WORLD-JAPAN

Sikiliza NHK WORLD-JAPAN moja kwa moja au kwa wakati wako kwa kutumia programu kwa iPhone® na iPad®.

Huduma hii ni bure; lakini gharama za kulipia huduma za mawasiliano ni wajibu wa mtumiaji.

Programu hii inatoa huduma gani ?

  • Kwa kutumia programu hii unaweza kusikiliza matangazo ya redio moja kwa moja na vipindi vilivyohifadhiwa vya hivi karibuni unavyopenda wakati unaotaka.
  • Unaweza kupokea taarifa ya matangazo ya vipindi vya redio dakika 3 kabla ya vipindi hivyo kuanza kusikika ikiwa utavisajili mapema.
  • Unaweza kusoma taarifa za karibuni za habari za NHK WORLD-JAPAN.
  • iPhone na iPad ni alama za kibiashara za Apple Inc., zilizosajiliwa nchini Marekani na nchi nyingine.
  • App Store ni alama ya program ya Apple Inc.

Programu ya Android ya NHK WORLD-JAPAN

Sikiliza NHK WORLD-JAPAN moja kwa moja au kwa wakati wako kwa kutumia programu kwa vifaa vya Android™.
Kijapani hakipatikani kwenye programu hiyo.

Huduma hii ni bure; lakini gharama za kulipia huduma za mawasiliano ni wajibu wa mtumiaji.

Programu hii inatoa huduma gani ?

  • Kwa kutumia programu hii unaweza kusikiliza matangazo ya redio moja kwa moja na vipindi vilivyohifadhiwa vya hivi karibuni unavyopenda wakati unaotaka.
  • Unaweza kupokea taarifa ya matangazo ya vipindi vya redio dakika 3 kabla ya vipindi hivyo kuanza kusikika ikiwa utavisajili mapema.
  • Unaweza kusoma taarifa za habari mpya za karibuni za NHK WORLD-JAPAN.
  • Android na Google Play ni alama za kibiashara za Google Inc.