Orodha ya Misamiati na Majaribio
Somo la 40
言います [IIMASU]
kueleza, kusema
Maneno na semi katika somo
寮母 | おかゆですよ。 体調は、どう? |
Huu ni uji wa mchele. Unajisikiaje? |
---|---|---|
Msimamizi wa bweni | OKAYU DESU YO. TAICHÔ WA, DÔ? Huu ni uji wa mchele. Unajisikiaje?
|
|
アンナ | 頭がずきずきします。 | Kichwa kinauma.
|
Anna | ATAMA GA ZUKIZUKI SHIMASU.
Kichwa kinauma.
|
|
寮母 | そう。欲しいものがあったら、言ってね。 | Kumbe. Ikiwa kuna kitu unataka, niambie.
|
Msimamizi wa bweni | SÔ. HOSHII MONO GA ATTARA, ITTE NE.
Kumbe. Ikiwa kuna kitu unataka, niambie.
|