NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Orodha ya Misamiati na Majaribio > Orodha ya Misamiati

Orodha ya Misamiati na Majaribio

Somo la 24

試験 [SHIKEN]

jaribio, mtihani
SHIKEN pia inafahamika kama TESUTO.

Maneno na semi katika somo

先生 はい、今日はここまでです。
来週の月曜日に試験をします。
Haya, kwa leo tuishie hapa.
Jumatatu ijayo nitawapatia jaribio.
Mwalimu HAI, KYÔ WA KOKO MADE DESU.
RAISHÛ NO GETSUYÔBI NI SHIKEN O SHIMASU.
Haya, kwa leo tuishie hapa. Jumatatu ijayo nitawapatia jaribio.
アンナ 先生、辞書を使ってもいいですか。 Mwalimu, tunaweza kutumia kamusi?
Anna SENSEI, JISHO O TSUKATTE MO II DESU KA.
Mwalimu, tunaweza kutumia kamusi?
先生 いいえ、だめです。使わないでください。 Hapana, hamruhusiwi. Tafadhali msitumie.
Mwalimu IIE, DAME DESU. TSUKAWANAIDE KUDASAI.
Hapana, hamruhusiwi. Tafadhali msitumie.
*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.