NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Misamiati ya Kuon > むりです (siwezi)

Misamiati ya Kuon むりです (siwezi) むりです

むりです (siwezi)

Maneno na semi katika somo

佐藤さて、ひと風呂浴びてくるかな。
Sasa, labda niende nikaoge.
SATOSATE, HITO-FURO ABITE KURU KA NA.
山田クオンさんも一緒に入っておいでよ。
Na Kuon san, ujiunge naye mkaoge pamoja.
YAMADAKUON-SAN MO ISSHO NI HAITTE OIDE YO.
クオンえ…。
Eh …
KUONE...
高橋 何事も挑戦よ。
“裸の付き合い”っていうでしょう?
Na kila kitu ni changamoto. Utasema ‘uhusiano mtupu', au siyo?
TAKAHASHINANIGOTO MO CHÔSEN YO.
"HADAKA NO TSUKIAI" TTE IU DESHÔ?
クオンでも…。
やっぱり無理です。
Lakini …
Hata hivyo, siwezi.
KUONDEMO...
YAPPARI MURI DESU.
[Bure] Kutafuta na kuhifadhi masomo (Sauti /Maandishi)

Kwa maswali au maoni kuhusu Jifunze Kijapani: Kutuma maoni