Mwalimu Tufundishe
Profesa mshiriki Akane Tokunaga, ambaye anasimamia na kuhariri kipindi cha "Jifunze Kijapani" anaelezea mambo ya kuzingatiwa kwenye masomo hayo kwa kina, kwa kuchambua mambo ya msingi kutokana na muktadha wa kila somo.
Maandishi yaliyohifadhiwa
- Mfumo wa uandishi wa Kijapani (Somo la 1)
- Namna ya kuuliza maswali (Somo la 2)
- Vionyeshi (Somo la 3)
- Jinsi ya kutengeneza sentensi za kukanusha (Somo la 4)
- Namna ya kuweka kitenzi katika hali ya kukanusha na swali (Somo la 5)
- Herufi HA inapotamkwa kama WA (Somo la 6)
- Namna ya kutumia kitenzi cha ARIMASU (Somo la 7)
- Kitenzi cha umbo la TE + KUDASAI (Somo la 8)
- Vitenzi vya umbo la TE - Namna mbalimbali (Somo la 9)
- IMASU na ARIMASU (Somo la 10)
- Vitenzi vya umbo la kikamusi (Somo la 11)
- Vitenzi vya umbo la TA (Somo la 12)
- Aina mbili za vivumishi (Somo la 13)
- Kitenzi cha umbo la TE + MO II DESU KA (Somo la 14)
- Vivumishi vya umbo la kukanusha (Somo la 15)
- Jinsi ya kutumia NI (Somo la 16)
- Kivumishi + SÔ (Somo la 17)
- Kitenzi cha umbo la TE + SHIMAIMASHITA (Somo la 18)
- Umbo la wakati uliopita la vivumishi (Somo la 19)
- Kitenzi cha umbo la TA + KOTO GA ARIMASU (Somo la 20)
- Vitenzi vya umbo la NAI (Somo la 21)
- Namna ya kubadilisha vivumishi kuwa vielezi (Somo la 22)
- Kauli ya kutendewa (Somo la 23)
- Kitenzi cha umbo la NAI + DE KUDASAI (Somo la 24)
- Umbo la amri la vitenzi (Somo la 25)
- Umbo la kuonyesha nia la vitenzi (Somo la 26)
- Namna ya kutamka tarehe (Somo la 27)
- Tofauti kati ya KARA na NODE (Somo la 28)
- N DA: kauli unayoitumia kuelezea kitu fulani (Somo la 29)
- Tofauti kati ya TARA na TO (Somo la 30)
- O na GO zinazoonyesha heshima (Somo la 31)
- Kauli ya kulinganisha kwa kutumia NO HÔ GA na YORI (Somo la 32)
- Tofauti kati ya AGEMASU na KUREMASU (Somo la 33)
- Namna ya kutengeneza vivumishi vya umbo la TE. (Somo la 34)
- Umbo la uwezekano la vitenzi (Somo la 35)
- Umbo la NAI la kitenzi + NAKEREBA NARIMASEN (Somo la 36)
- Namna ya kuonyesha mifano kwa kutumia TARI (Somo la 37)
- Kauli ya heshima (Somo la 38)
- Nafikiri kwamba (Somo la 39)
- Makundi matatu ya vitenzi (Somo la 40)
- Kuelezea uwezekano (Somo la 41)
- ICHIBAN (Somo la 42)
- Namna ya kutumia DESHÔ (Somo la 43)
- Umbo la TE la kitenzi + KARA (Somo la 44)
- MORAIMASU (Somo la 45)
- Umbo la kikamusi + MAE NI (Somo la 46)
- Namna ya kubadilisha vitenzi na kuwa nomino (Somo la 47)
- Namna ya kuboresha Kijapani chako (Somo la 48)