NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Namba - sehemu ya 1 (Somo la 6)

Nyenzo za kujifunzia

Namba - sehemu ya 1 (Somo la 6)

0 REI, ZERO
1 ICHI
2 NI
3 SAN
4 YON, SHI
5 GO
6 ROKU
7 NANA, SHICHI
8 HACHI
9 KYÛ, KU
10

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.