NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Umbo la kuonyesha nia la vitenzi (Somo la 26)

Nyenzo za kujifunzia

Umbo la kuonyesha nia la vitenzi (Somo la 26)

Umbo la MASU Umbo la kuonyesha nia
TSUKAIMASU
(kutumia)
TSUKAÔ
MACHIMASU
(kusubiri)
MATÔ
ATSUMARIMASU
(kukusanyika)
ATSUMARÔ
YOMIMASU
(kusoma)
YOMÔ
KAKIMASU
(kuandika)
KAKÔ
ISOGIMASU
(kufanya haraka)
ISOGÔ
IKIMASU
(kwenda)
IKÔ
TABEMASU
(kula)
TABEYÔ
OBOEMASU
(kukumbuka)
OBOEYÔ
IMASU
(kuwepo)
IYÔ
MIMASU
(kuona)
MIYÔ
KIMASU
(kuja)
KOYÔ
SHIMASU
(kufanya)
SHIYÔ

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.