NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Vitenzi vya umbo la NAI (Somo la 21)

Nyenzo za kujifunzia

Vitenzi vya umbo la NAI (Somo la 21)

Umbo la MASU Umbo la NAI
TSUKAIMASU
(kutumia)
TSUKAWANAI
MACHIMASU
(kusubiri)
MATANAI
ATSUMARIMASU
(kukusanyika)
ATSUMARANAI
YOMIMASU
(kusoma)
YOMANAI
KAKIMASU
(kuandika)
KAKANAI
ISOGIMASU
(kufanya haraka)
ISOGANAI
IKIMASU
(kwenda)
IKANAI
TABEMASU
(kula)
TABENAI
OBOEMASU
(kukumbuka)
OBOENAI
IMASU
(kuwepo)
INAI
MIMASU
(kuona)
MINAI
KIMASU
(kuja)
KONAI
SHIMASU
(kufanya)
SHINAI

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.