NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Mwanzo wa ukurasa wa Kiswahili > Nyenzo za kujifunzia > Umbo la kukanusha la vivumishi (Somo la 15)

Nyenzo za kujifunzia

Umbo la kukanusha la vivumishi (Somo la 15)

Vivumishi vya I Umbo la kukanusha
URESHII
(kufurahi)
URESHIKUNAI
OMOSHIROI
(kuvutia)
OMOSHIROKUNAI
ISOGASHII
(kuwa na shughuli nyingi)
ISOGASHIKUNAI
YASUI
(bei rahisi)
YASUKUNAI
KAWAII
(kupendeza)
KAWAIKUNAI
ÔKII
(kubwa)
ÔKIKUNAI
OISHII
(tamu)
OISHIKUNAI
II
(nzuri)
YOKUNAI
Vivumishi vya NA Umbo la kukanusha
DAIJÔBU
(kutokuwa na shida)
DAIJÔBU DEWANAI
JÔZU
(mzuri kwa)
JÔZU DEWANAI
GENKI
(kuwa na afya)
GENKI DEWANAI
SUKI
(kupenda)
SUKI DEWANAI
YÛMEI
(maarufu)
YÛMEI DEWANAI

Tuna maelezo ya kina kuhusu kinachoendelea katika masomo ya sauti. Tafadhali nenda kwenye ukurasa wa masomo kwa kubofya kitufe cha chini, na usikilize somo hilo la dakika 10 katika ukurasa huo.

*Utatoka kwenye tovuti ya NHK.