Nyenzo za kujifunzia
Tunatoa nyenzo za ziada hapa kwa ajili ya masomo yetu. Tafadhali zitumie kulingana na somo husika ili kuboresha uelewa wako.
- Namba - sehemu ya 1 (Somo la 6)
- TSU: kiambishi cha kuhesabu vitu kama vile keki (Somo la 7)
- Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 1 (Somo la 8)
- saa (Somo la 9)
- Namna ya kuunda vitenzi vya umbo la TE - Sehemu ya 2 (Somo la 9)
- Siku za wiki (Somo la 11)
- Vitenzi vya umbo la kikamusi (Somo la 11)
- Miezi (Somo la 12)
- Jinsi ya kuunda vitenzi vya umbo la TA (Somo la 12)
- Umbo la kukanusha la vivumishi (Somo la 15)
- Umbo la wakati uliopita la vivumishi (Somo la 19)
- Vitenzi vya umbo la NAI (Somo la 21)
- Namna ya kuhesabu dakika (Somo la 22)
- Vitenzi vya umbo la kutendewa (Somo la 23)
- Maneno yanayoashiria wakati (Somo la 24)
- Umbo la amri la vitenzi (Somo la 25)
- Umbo la kuonyesha nia la vitenzi (Somo la 26)
- Tarehe (Somo la 27)
- Namba (2) (Somo la 31)
- Namba - Sehemu ya 3 (Somo la 35)
- Umbo la uwezekano la vitenzi (Somo la 35)
- Misimu (Somo la 36)