NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Kujifunza Kijapani kwa mtandao

Kujifunza Kijapani kwa mtandao

“Jifunze Kijapani” kinatolewa na NHK WORLD. NHK WORLD ni matangazo ya kimataifa ya NHK. NHK inaendesha matangazo ya kimataifa ya televisheni, redio na mtandao wa intaneti, kwa pamoja zinajulikana kama NHK WORLD.
Katika kila somo, unaweza kujifunza misemo muhimu kwa njia ya sauti. Hadi utakapofika mwisho wa mfululizo wa masomo haya, utakuwa unajua misemo ipatayo 50 !

Kujifunza silabi za Kijapani kabla ya kuanza somo

Somo jipya linatangazwa kila wiki redioni. Jumla ya masomo ni 50!

Kujifunza silabi za Kijapani kabla ya kuanza somo

[Bure] Kutafuta na kuhifadhi masomo (Sauti /Maandishi)

Kwa maswali au maoni kuhusu Jifunze Kijapani: Kutuma maoni