NHK WORLD > Jifunze Kijapani > Maswali yanayojirudia na majibu yake

Maswali yanayojirudia na majibu yake

Nimesikia kuwa “Jifunze Kijapani” ni kipindi redioni, lakini kinatangazwa lini?

Tafadhali angalia ratiba ya matangazo na masafa ya Redio yetu.

Kufunga

NHK WORLD inatoa mbinu gani za kujifunza?

Siyo tu masomo kwa njia ya sauti, tunatoa mbinu zifuatazo:

Kufunga

Naweza kutafuta na kuhifadhi masomo yote kwa mara moja?

Tafadhali bonyeza kibonyezo kilichopo juu upande wa kushoto wa ukurasa, au fuata kiunganishi kilichopo chini.

Kufunga

Lugha ya Kijapani ni ya kipekee, na ninapata shida kujifunza…

Tunafurahi kupata maoni yako kuimarisha tovuti yetu.

Kufunga

Wapi naweza kununua CD za masomo au kitabu?

Hatuuzi CD za masomo au kitabu cha maudhui ya mtandao huu. Badala yake unaweza kutafuta na kuhifadhi masomo kwa sauti kama mfumo wa MP3 na kitabu kama mfumo wa PDF.

Kufunga

[Bure] Kutafuta na kuhifadhi masomo (Sauti /Maandishi)

Kwa maswali au maoni kuhusu Jifunze Kijapani: Kutuma maoni